Yaani sielewi hospital ya mawenzi ina shida gani, kama rrh zingine intern wanalipwa kwa wakati, inakuwaje kwa mawenzi kunakuwa na ucheleweshwaji wa malipo kwa intern usio kuwa na maelezo yakinifu???? Hili jambo lina makusudi ndani yake.
Mshahara wa intern unajulikana kama posho ya kujikimu ya kila mwezi ambayo inalipwa na serikali.... Mdau yuko sahihi maana ndo inajulikana hvyo... Kinachodaiwa ni hiyo posho ya mwezi wa nane mpka tarehe hii 19 mwezi wa 9 haijalipwa bado ilihali malipo yameshaingia akaunti ya hospital wiki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.