Kada Maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Jimbo la Mtera Mkoani Dodoma Livingstone Joseph Lusinde amewasihi Watanzania.
kumpuuza Mwanasiasa Lazaro Nyalandu ambaye juzi ametangaza kujivua nyadhifa zake zote katika CCM ikiwemo ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Ubunge wa Jimbo...
Vichwa vya habari wiki hii ni kujiuzulu katika nafasi yake ya ubunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya chama tawala CCM, Na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili wa taifa hilo Lazaro Nyalandu kwa kile alichoeleza kuwa ni kutoridhishwa kwake na mwenendo wa hali ya kisiasa na mengine mengi...
-Ameanza kwa kumshukuru Lazaro Nyalandu kwa Kuikimbia CCM na kuomba kujiunga CHADEMA. "Lazaro Nyalandu bado ana Mawazo ya Ujana".
-Kingine alichozungumzia ni Uchaguzi mdogo wa Madiwani wa kata 43. Amesema watu wasiichague CCM. Amesema kuichagua CCM ni sawa na kukubali CCM wawndelee kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.