Recent content by dejomi

  1. D

    K Mileage

    Ndugu yangu ukimchunguza bata huwezi kumla,sasa wewe maswali yote hayo yamekufanya ukate tamaa ona sasa
  2. D

    Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya Dubai amlaumu mumewe

    Tamaa mbaya sana asijifanye alikuwa hauji ,alikuwa anajua kwa kuwa kakamatwa ndiyo anamlaum mumewe,wanachafua sura na taswira ya Watanzania,apewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wenzake
  3. D

    GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Ni kweli zitto ni mtu makini sana kwa siasa za ndani lakini napata maswali mengi ni nini kinamfanya asiendelee na siasa na kutaka kufundisha vyuo vikuu,mimi naamini huwenda amekatishwa tamaa na mambo furani furani,mimi namshauri akaze buti
Back
Top Bottom