Recent content by dej

  1. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

    Mi nadhani ingekaa poa sana tungepata mtu au fundi mwenye kutupa sincere experience, hii ingekua more reliable than AI
  2. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ujenzi wa Interlocking bricks

    Habari wana jamvi Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks. Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama Urembo asilia Kupunguza mda wa ujenzi Kupunguza gharama za ujenzi kwani hakuna haja ya plaster wala skimming...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

    Aise ni kwamba hili jukwaa halina watu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

    Habari wana jamvi Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks. Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama Urembo asilia Kupunguza mda wa ujenzi Kupunguza gharama za ujenzi kwani hakuna haja ya plaster wala skimming...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

    Sometimes hata mi Hua nahisi hivo, kwanza inaingiaje?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Sorry, huko loti/ Intel na hizo sehem nyingine, viwanja vyake vimepimwa?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Hivi huko USA/mchai compared na kisongo, wapi kuko na availability ya viwanja
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Intel au Mapambazuko ndo uswahilini kwa badae?? Kwanini yani, hakujapimwa?, wazawa ni wengi?, au
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli watu walioendelea wanachezea afya zetu kiasi hiki?

    This is very nice
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Samsung na LG, ni TV gani nzuri na imara?

    Oya hiyo picha ni mazishi
Back
Top Bottom