Recent content by degepori

  1. D

    Strabag kichefuchefu

    hivi serikali mnalichukuliaje hili suala la ujenzi wa barabara wa hawa strabag..yani imekua kuchoshana na foleni zisizo za msingi wao kutwa kubomoa hatuoni wakijenga. eti mwenge mpaka kinondoni inakuchukua masaa matatu... sio fresh aisee swaum kali
  2. D

    DAR: Kituo cha mabasi Mwenge chahamishiwa Makumbusho

    serikali chenga tu sasa watu wanaofanya kazi maeneo ya mwenge washukie wapi
  3. D

    Office Manager wanted - Lady

    mmi nina zaidi ya miaka 25 je sifai kwa hiyo position
  4. D

    Mwenye taarifa za Onfone media

    wana jf msaada kuhusu update za kazi za onfone media
  5. D

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Msaada wana jf mshahara wa TGS D wa halmashauri ni kias gani
  6. D

    Natafuta dada wa kunisaidia kazi za nyumbani

    Inaonekana wewe ni housewife ndugu..hebu niambie unafanyaje una watoto,umeajiriwa,umeolewa halafu ufanye kazi zote za kuwa mama,mwajiriwa,na mke,
  7. D

    Pochi nzuri kwa bei poa

    Weka picha hapa mkuu,unapatikana wapi na mengineyo,
Back
Top Bottom