Recent content by dega

  1. dega

    Mahakama yaamuru kupigwa mnada nyumba ya mjane ili kumfidia aliyeumia mguu kwa ajali ya bodaboda

    Alipwe fidia na nani aliemgonga kafariki vipi MKE abebe adhabu ya kosa la marehemu??
  2. dega

    Iweje MOSAD, IDF, CIA, mwaka mzima wa 9kukalia Gaza wasijue mateka walipo ?

    Hawana lolote wanjeshj wengi IDF ni wake wa watu
  3. dega

    Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Mambo ya wazanzibar waachieni wenyewe wazanzibar watanganyika hamtaki kuona Zanzibar iliyo salama mnafurahia migogoro Ili muendelee kututawala Pascal wewe si mzanzibar Kwa mujibu ya katiba yetu shughulikiia yanakuhusu yetu tuwachie wenyewe
  4. dega

    PreGE2025 Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa

    Haji mara huyu anaemsapoti Mbowe kumbe yeye anaenda kugombea CCM Najiuliza mbona Kambi Mbowe umejaa CCM.?
  5. dega

    PreGE2025 Mbowe: Nimemjenga na kumsaidia Lissu kwa mengi, kuna wakati najiuliza yeye ndo anayasema haya!

    Kwa hiyo kuokoa MAISHA ya Lissu lengo lilikua kumfanya awe msekule wake?? Anyamaze Kwa Kila baya alitendalo keshafanya Kwa Zito Slaa na wengine lkn LISSU ni namba nyengine
  6. dega

    PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Ushindani wa kisiasa ni HAKI ya Taasisi yoyote inayoendeshwa kidemokrasia upo wapi UADUI hapo
  7. dega

    Malipo ya Mrithi kwa Mwendazake yanatupa findisho kubwa sana

    Kwani ni yeye anaechagua mgombea mwenza mgombea mwenza kikatiba ilikua lazima atokee Zanzibar hivyo wajumbe wa halmashaur kuu Zanzibar ndio wanapeleka jina huna unachojua
  8. dega

    MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
  9. dega

    MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Kwa sababu kapanga kustafu uongozi akiwa na miaka 68
  10. dega

    MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

    Hata wakooloni walikuja na kama hoja zako kwamba watu weusi hawawi kuongoza
Back
Top Bottom