Recent content by defender

  1. D

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Nne bila (4-0) hizi ndo hua barcelona anashindaga ndo maana anakua bingwa! viongozi wa CCM NAOMBA MUONE NI JINSI GANI TUNAVOROCK! Mwigulu hapo ana lakusema tena? Nape naona anajipa moyo ila ndo mwisho wa CCM umefika ndugu zanguni......mlikimbia vitua sa kumi na moja! rushwa hatutaki...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    ila bado chadema kuna nafasi kama mbili zimebaki.....mwigulu tunampa moja ili asije kunywa sumu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    hivi chama tawala CCM badala ya kusahihisha makosa kinapingana na wapinzani kwa maneno na hata kwa vitendo kama na wao ni wapinzani ina maana hakuna washauri ndani ya CCM au imekaaje hii.....sasa watanzania tuwaeleweje watu hawa??? mimi kama mtanzania nashauri nao wapewe upinzani 2015 ili...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Lwakatare amefunguka...

    naamini watanzania wanatambua umuhimu wa CDM katika nchi yetu nzuri ya TANZANIA hivyo naamini hawatochoka kupigania ukombozi huu tunaoukaribia cku za usoni.....hongera kamanda lwakatare
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kufilisika kwa wanasiasa CHADEMA na kukosa kwao ajenda, 2015 hamchomoki!!!

    mm nakushukuru sana kwa kutambua kua chadema ina watu tishio kama dr slaa na zitto naomba uendelee kutusupport kwa kutangaza uhodari wao huko ndani ya ccm.....bwana hammy b...jipange sana wakati unaeneza chuki kwa chama makini kama chadema kwa sababu utajikuta unawaongezea umaarufu!!
Back
Top Bottom