Jux anacho kipata na kazi anayo ifanya ni tofauti na ni kweli mimi katika waimbaji ninao wakubali ni Jux,Ben,Barnaba yaani hawa nikiwatizama naona industry yenu still haiwapi hadhi wanayo stahili sijui kwako.
Sasa kwa kipindi Diamond kabanwa kila sehemu,kimbilio lake lilikiwa ni social network kulikiwa hamna means nyingine ya kupromote mziki wake.
So kwa yeye kusema radio na tv si chochote ni sawa sababu alisurvive miaka miwili bila radio kupiga nyimbo zake na diamond aliinvest kwenye digital...
Una macho lakini huoni,Roma juzi katoka kulalamika tu akaulizi "hivi mziki wetu ni wa watu watatu".Alibishana na Askofu-Tz Instagram,Chemical kaongea kile kile,Dudu naye kaongea kilekile.
Kuna wasanii wakali na wanatoa nyimbo kali ila hawana airtime,kama utabisha sawa ila fuatili hizi redio...
Najua mnalaumu system ya mziki ila huu mziki mpaka kufika hapa wakulaumiwa ni Clouds na Ruge,wao waliishika industry ya mziki na walikuwa wanaamua kutokana na maslahi yao nani wampandishe na nani wa mshushe,nani wambanie haijalishi ana ubora gani,tumeona kwa Jide,FA,Sugu,Rama dee na Diamond...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.