Recent content by deekay1216

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ilemela: Nguvu ya Umma yashinda Ubabe wa Jeshi la Polisi

    Ilemela watu wameamka safi sana mpk haki ipatikane
  2. D

    JamiiForums Tanzania Samadu Hassan Maduhu

    Zaid nachopenda kwake ni vile anavyopanga maneno na matukio vinarandana swadakta... Amin huyu mzee ni anaipenda fani yake sanaa... Long Live Mzee Samadu
  3. D

    JamiiForums Tanzania darasa la kisasa

    Hiv hiyo misaada wanayosema kila siku ya madawati na vitabu ni inaishia wap!!! Afu mbna wazazi kila kukicha michango ya madawati haiishi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasababisha ugonjwa wa kutotaja majina

    Lazima kutakua na ki2 nyuma ya pazia 2
  5. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasababisha ugonjwa wa kutotaja majina

    Tatzo la nchi banha utekelezaj ni wakusua sua unaeza ukatoa ushaid lakini hakuna kitakachofanyika Lakini hawa kama wameamua kusema waseme kwa sababu ni kwa manufaa ya taifa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasababisha ugonjwa wa kutotaja majina

    Pengine ni kuhofia effects za kuyaweka public
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    Nyuma ya bendera ya chama kuna uharifu mkubwa sana dah kazi hipo
Back
Top Bottom