Tofaut ipo
Na tofaut ya kwanz ni hyo ulioitaja
Tofaut ya pili ipo kweny dawa zenyew ni dawa mbil tofaut na hazifanan japo kuna mchanganyiko baadh zote zinao
PrEP unakunywa kama upo kweny mazingura hatarishi ya kupata HIV(Before Contact) mfano kama hvo unataka kusex na mwenye maambukiz, au unatumia dawa za kulevya, au wanaojiuza
but PEP zinatumika baada ya kua contact na HIV(After)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.