Recent content by dedecherie

  1. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kilimanjaro tumelipia umeme muda mrefu ila kufungiwa ni shida Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Magufuli juu ya mimba za wanafunzi linapingana na sheria zilizopo

    Mimba ni matokeo na ajali tumwombe Mungu isitokeee kwa mwanao, dada yako au mpwa wako.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Spika awauliza mawaziri kwa nini wanapeleka miradi kwa wapinzani wakati hawaungi mkono bajeti

    Basi majimbo ya upinzani wasilipe kodi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya ambulance aliyotoa Nape na Lema kwenye majimbo yao inahitaji mjadala mpana

    Arusha ni mjini hawahitaji land cruiser na mtama kwa Nape ni kijijini wanahitaji gari gumu kama cruiser. Tumia upeo wako kuelewa vitu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro wamuhadaa Rais Magufuli Mei Mosi 2017

    Chuo kinaitwa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) sio MUCU kama ulivyoandika. Pili ule haukuwa mkutano wa kisiasa bali sikukuu ya wafanyakazi kwa hiyo haina uhusiano na maelezo yako. Wafanyakazi wa mkoa wa Kilimanjaro tulikuwepo pale
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Natamani kuacha bangi

    Pole sana jaribu kuacha kuwaza kuhusu bangi
Back
Top Bottom