HAPA NDIPO PENYEWE. NADHANI KUNA UMUHIMU WA WAGOMBEA KUFANYA MDAHALO HUU, ILI WANANCHI TUPATE FURSA YA KUULIZA MASWALI. ITAKUWA VIZURI WAGOMBEA KUNADI SERA ZAO NA KUTETEA HOJA ZAO, BADALA YA HUU MFUMO WA WAO KUTUAMBIA NI NINI WAMEFANYA WAKITUMIA TAKWIMU AMBAZO HAZITAFITIWI. MUDA WA KUSEMA NDIO...
Mimi nataka kuona wakifanya mdahalo wa pamoja, tuone wakitetea hoja zao. Tumsikilize na Mh. Kikwete akijibu maswali kutoka kwa wananchi na wasomi juu ya uongozi wake na matarajio na mikakati yake katika miaka mitano ijayo akipata huo urais. Jiunge nasi katika kupigania kufanyika kwa huo mdahalo...
Mimi nataka huo mdahalo wa wagombea, tuone nani ni nani..tuone nani anaweza kutetea hoja zake sio kila siku watu kutusomea risala..karibuni kwenye group ya kuunga ombi la kufanyika mdahalo la wagombea; Campaign for Presidential Debate in Tanzania 2010 | Facebook
ndoo maana lazima tuwabane viongozi wetu kwa mswali. Mimi nimeanzisha kampeni ya kutaka mdahalo wa wagombea wa urais ufanyike ili tuweze kuwauliza maswali wagombea, tujue ni viongozi aina gani. Karibu Campaign for Presidential Debate in Tanzania 2010 | Facebook
Kwa sasa hatuwezi tegemea mengi kutoka kwa hiki chama. Mimi nadhani hii miaka mitano ijayo mpanga uchaguzi wa 2015 utakuwa muda mzuri wa kuona mwelekeo wa chama. Mimi binafsi sijachukua kadi ya uwanachama mpaka nione mwelekeo wao ndani ya miaka hii mitano ijayo. Watanzania tuache kulimbukia...
Maneno ya Nyerere yalikuwa sahihi, na kweli kuyumba kwa JK tumekuona. Nadhani ameegamia kwenye sera ya "you scratch my back i'll scratch yours" sana mpaka ameshindwa kutekeleza mambo ya msingi. Mfano, swala la mafisadilimemshinda kwasasabu, huwezi kula na kipofu alafu ukamshika mkono.
Tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.