Mdogo wangu nitake radhi kwa maneno uliyotumia dhidi yangu, umenihukumu Bila kuelewa undani wa suala hili
Kuhusu pesa, nina uhakika hujui mazingira na ni vipi pesa hizo zilipotea, ila kwa faida yako tu niseme kwamba, imefahamika au kugundulika kuwa hakufika na hizo fedha nyumbani
Mwanzo...
Mama, maneno yako nayaheshimu sana, ila tu kwa faida yako na wenye mtazamo kama wako ni hivi
Nimekuja hapa ili kuona njia niliyotumia kutatua hili tatizo ni sahihi? Mwanzo nilitumia njia ya kumbembeleza, njia hiyo haikufanikiwa akaendelea na misimamo wake
Mama, wanawake mna tabia ya kupima...
Hizo pesa sikuchukua kabisa, alipoteza town wajanja walimwibia, maana alipobanwa sana akadai hajui kama alifika nazo home au alishaibiwa kabla hajafika, hivyo linabaki kuwa suala lenye mkanganyiko mkubwa
Nakuhakikishia kwa uwezo wa mwenyezi mungu nitaibuka mshindi kwenye sakata, in fact nipo half way to the victory
Hivi sasa mm ndio nina upper hand kwenye huu mgogoro, Mungu amenipigania
Mwanamke yeyote anaehama chumba chake cha matrimonial sababu Ya Madai ya kupoteza pesa wakati ameibiwa...
Watu wote waliotushauri wakati fedha zake zimepotea na baadae yeye kuhama, wadhamini wetu ndio walikua wasuluhishi wakuu, kila mara walikuja home kumsihi arudi chumbani kwetu akawa anakubali tukibaki wawili anadai alikua anawafurahisha tu hawezi kurudi
Watu aliotaka yeye watusuluhishe...
Ni rahisi kudai hivyo tatizo likiwa la mtu mwingine, sio rahisi kiasi hicho kama vile kuzima na kuwasha taa ukutani, ni Bahati mbaya sana sikutaka kuwaeleza ni kiasi gani nilihangaika kumbembeleza mwenzangu kuwa anakoelekea sio kuzuri, nilimweka Chini na kumweleza madhara ya huu mgogoro kama...
Nawasalimu wote,
Tangu mwezi February mwanzoni tumekuwa na mgogoro na mke wangu, mgogoro huu ulitokana na yeye mke kupoteza pesa zake za mkopo kiasi cha tshs million sita katika mazingira ya kutatanisha, akadai mimi ndie nimechukua pesa zake, tulipoitwa kwenye usuluhishi niliona niliona ni...
Yap nitabeba mawazo ambayo naona ni constructive, pia kuja kwangu hapa ni kaona msimamo wangu kwenye sakata hili unaungwa mkono kiasi gani
Pia pengine kwa upande wangu nilitaka kuona makosa yangu ni yapi kupitia mawazo yenu
Ingawa huu hapa jf sio usuluhishi kiviile ni kutafuta mawazo mapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.