Recent content by Decree Holder

  1. Decree Holder

    Kwanini Tundu Lissu hakutangaza nia mapema ya kugombea uenyekiti wa Chama taifa?

    Inawezekana kabisa TAL aliamua kugombea uenyekiti wa Chama taifa mapema zaidi lakini hakutangaza kutokana na historia ndani ya chadema. Historia inaonesha viongozi wote ndani ya chadema walioonesha kuutaka uenyekiti mapema waliundiwa zengwe na kupewa kesi za usaliti kuwazuia kugombea uenyekiti...
  2. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Serikali haikuingilia maamuzi ya TFF, Rais kwa hekima zake alishauri Yanga mmalizane na Feitoto, ilikuwa ni ushauri tu Yanga ingeweza kupuuza na kuendelea na kesi kule CAS. Yanga kwa kutambua kuwa wakipuuza huenda ombi lao la uwanja lisingekubaliwa wakatumia nao busara na kumalizana na Feitoto...
  3. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Sasa nikiripoti wote hili jukwaa litakuwa halina uto... Wa kuchangamsha mada? 😂
  4. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Yanga walimuuza Feitoto kwa Milioni 200 hapo ni baada ya Azam kuamua kufunika kombe ili kucomply na maagizo ya Mheshimiwa Rais kulimaliza Hilo swala. Hata hivyo hiyo pesa bado ni kidogo sana kwa thamani ya Feitoto bado inabaki palepale kuwa wanasheria wa Yanga walifeli kwenye kuandaa mkataba wa...
  5. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Mkuu huwezi kujadiliana kistaarabu bila lugha ya matusi na dharau. Au kwakuwa ni mtandaoni na hutumii jina lako basi hujali? Anyway hii comment nimei report kwa mods waicheck.
  6. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Huyo Lissu mwenyewe ukimsimulia sakata la Feitoto ataukataa huo msimamo wako, anyway hapa Mimi natoa elimu Sina muda wa kuargue na layperson, ishu ya Feitoto ina maamuzi mengi (precedent) nyingi sana CAS wakijaribu kueleza ni kwa namna gani mchezaji anaweza kuvunja mkataba. Ni kweli mchezaji ni...
  7. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Sasa wewe ukiangalia mwanasheria wa Yanga aliyeweka kipengele cha kuvunja mkataba kwa kulipa Milioni 112 na mwanasheria wa Azam aliyeweka kipengele cha kuvunja mkataba kwa kulipa Dola 300,000/= nani alifanikiwa? Halafu usijekutumia maamuzi ya TFF kuzipima Simba na Yanga, TFF always inaziogopa...
  8. Decree Holder

    Wanasheria wa Vilabu vya Soka Tanzania fanyeni wajibu wenu, msilaumu wachambuzi

    Mawakili wa Club za mpira tekelezeni wajibu wenu badala ya kulaumu wachambuzi na wachezaji Na Wakili Zawadi Lupelo Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na makala fupi ya Mwanasheria wa Club ya Yanga Wakili Simon Patrick akiwalaumu wachambuzi walioshabikia sakata la Feitoto kuvunja...
  9. Decree Holder

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah
  10. Decree Holder

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Kamata kamata na kesi za uchochezi zilikuwa nyingi sana
  11. Decree Holder

    Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

    Salamu mbele! Walio wengi huku mtaani wanaona hafai kuvaa si tu viatu bali hata soksi za mwendazake, sifa pekee inayomtofautisha na mtangulizi wake ni hii Sifa ya demokrasia na utawala bora. Hivi karibuni ameonekana anaitupa hata hii karata muhimu inayomtofautisha na mtangulizi wake ambayo...
  12. Decree Holder

    Sakata la Bandari: Je koti la Muungano linabana?

    Katika mazingira kama haya ndipo unapoona namna muundo wetu wa Muungano wa serikali mbili ulivyo mbovu na mbaya. Mazingira ambayo tuna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Zanzibar na waziri wa uchukuzi Prof Mbarawa kutoka Zanzibar pia halafu wanaingia mikataba kuhusu bandari ya...
Back
Top Bottom