Wakuu mnakumbuka nilileta huu uzi hapa jukwaani[
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1904366/
emoji1313][emoji1313]basi huu ndo mrejesho wangu
Mrejesho:Nilichelewa kuja kutoa mrejesho humu ndani kuhusu kidonda changu Lakini baada ya kutoka hapa niliuchukua ushauri nikaenda hospital...
Mrejesho:Nilichelewa kuja kutoa mrejesho humu ndani kuhusu kidonda changu Lakini baada ya kutoka hapa niliuchukua ushauri nikaenda hospital ambapo kwa bahati mbaya niliambiwa Bima yangu haijawa activated hivyo nikakosa huduma..
Halaf hichi kidonda hakikuwa na association yoyote au uhusiano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.