Recent content by Decisive

  1. Decisive

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jenga utamaduni wa kurudi nyumbani na mfuko wa sokoni

    Mwanaume Tafuta pesa mengine yatafuata mkondo
  2. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Usijali mimi pia nilipata experience nimetamani pia kujenga niliwekwa kama msimamizi hasa kwenye pesa niligundua kitu muhimu sana chukua quotation ya vifaa kwa fundi nenda mwenyewe dukani BEI ya vitu ilileta difference kubwa ENGINEER alikodiwa akashauri vibarua wakachimba nyumba ikanyanyuliwa...
  3. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    16 mm zilikua kwa ajili ya nguzo na 12mm zilikukwa kwa ajili ya slab
  4. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Mkuu hapa umenikamata sina kumbu kumbu nzuri kama ni 12 au otherwise
  5. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Siwezi kukadiria kwa km ila zinaweza kufika 2 mpaka 3 ni njia ya kuelekea kisarawe II kutokea cheka ni eneo tambarare lenye mchanga sana
  6. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Sawa mkuu nothing serious
  7. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Kaka unadharau 80m2 any way ilikuwa la makazi tena vyumba vitatu vikubwa kimoja chini, living room na kitchen viwili juu na balcony
  8. Decisive

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Cheka kigamboni june 2024
  9. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Kivipi mkuu
  10. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Ahsante mkuu mzizima nimepachoka Dodoma kuna utulivu
  11. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Bora nibaki jiji la kero tu
  12. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Huu ni mtihani
  13. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Kama mada haikuhusu unairuka tu mheshimiwa sio kila mada lazima ikihusu
  14. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Mbona inasemekana kuhama (Transfer) kwenda mkoa mwingine kwenye pepmis ess hauchagui taasisi isipokuws unachagua mkoa alafu wao wanakupangia taasisi vipi kama nikipelekwa mpwapwa huko
  15. Decisive

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA KUHAMIA DODOMA

    Poa kaka nina kaploti kangu huko nlitaka niwe na uhakika ili niweke kabanda
Back
Top Bottom