wanaoshabikia chanjo hata hawajui hiyo covid19 yenyewe ni nini....
Ukitaka kuthibitisha hili,waulize wakupe dalili MOJA TU,narudia,wakupe dalili MOJA TU ambayo ipo kwenye covid19 lakini huwezi kuikuta kwenye seasonal flu/Influenza.Hata madaktari wetu hawawezi kujibu swali hili kwa maana nao...