Recent content by debRuney

  1. debRuney

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Tuwasubiri hao wajuvi wa mambo waje kutupa connection za mashamba maana kwakweli natafakari hapa deni la taifa naona bora nikalime maana huko kwenye soko la ajira pameshabumba .. Shamba la chini ya mfereji ukipata ni baraka ndio maana kikwetu tunaita ''ghema sii ya mfongo '
  2. debRuney

    JamiiForums Tanzania Familia ni wale wanaokujali, si lazima wawe damu yako

    Maisha ni kitabu ... story nyingi za kuumiza na matendo mabaya tunayofanyiwa na watu wa karibu hasa familia maranyingi yanafanya tuwe sugu na wakati tunatafakari wengi wetu tunaingizwa kwenye list ya watu wenye kiburi na hao hao watesi wetu.. Nakazia .. Familia sio lazima wawe ndugu wa damu...
  3. debRuney

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku asitisha Mkutano wake na Wazee kuwa mubashara

    Nchi ya kusadikika !! tumefika kuingizana gizani , nini hasa wanataka kuficha!!! Ni FUTUHI!!
  4. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Huku ndio kwenye platform ya maana kabisa , ulimwengu wa kidigitali huu ulitaka tukafunge barabara tuitishe maandamano mkuu?
  5. debRuney

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali hii Tanzania tukishindwa kumpata Tundu Lissu kama Raia tunahtaji kuongozwa na Mwanajeshi mzalendo kama Ibrahim Traore

    Ni busara ya namna gani unayoitaka , kuchekea wezi wa mali za umma au?
  6. debRuney

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali hii Tanzania tukishindwa kumpata Tundu Lissu kama Raia tunahtaji kuongozwa na Mwanajeshi mzalendo kama Ibrahim Traore

    Watu wa CCM kuna muda mnashangaza sana, huu utaratibu wa kuwaaminisha watanzania kwamba hatuwezi kuwa na kiongozi bora zaidi ya mnaemtaka nyie mnatoa wapi legacy ya kutupangia ? Tanzania tunataka kiongozi bora mwenye uadilifu sio bora kiongozi kama ilivyo sasa. Hakuna kipindi tumewahi kuwa na...
  7. debRuney

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hali hii Tanzania tukishindwa kumpata Tundu Lissu kama Raia tunahtaji kuongozwa na Mwanajeshi mzalendo kama Ibrahim Traore

    Tanzania tumepitia kipindi kigumu sana ndani ya uongozi uliopo madarakani kwa sasa Tumeona kila aina ya uchawa wa viongozi wetu kwa kumpaka mafuta namba1 kwa mgongo wa chupa aka UCHAWA!! Kila mtu akisimama hata sio mwanasiasa mpaka watumishi wa umma anasimama kwa kumshukuru mama. Hii ni hatari...
  8. debRuney

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtu akıkwambia No reforms no election Mjibu Reform zimeshafanyika na uchaguzi utafanyika

    SIKU UPINZANI UKISHIKA MADARAKA KWENYE HII NCHI MBOGAMBOGA MJIANDAE KUTAFUTA NCHI YA KWENDA KUISHI, WANANCHI TUNA HASIRA NA NINYI KULIKO MNAVYODHANI... MNAJISAHAU SANA WATANZANIA WA SASA WAMEELIMIKA SIO WALE WA ANALOGIA KITAWALAMBA
  9. debRuney

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

    Kama hizi ndio akili za mbogamboga tuna hali mbaya sana kama vijana huko mbeleni Mbogambiga inatengeneza taifa la vijana wajinga kupata kutokea. angalia fikra za vijana wa CCM akina Osca Kambona ,na wengine enzi hizo za TANU walikuwa na fikra tunduizi zilizoweza kufanya chama kikashika hatamu...
  10. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Mkuu unakubaliana kabisa na hii hali inayoendelea , kwasasa route ya mwendokasi iliyopo active ni kutoka mjini kwenda njia ya Morogoro road to either mbezi au Morocco , Tujiulize hizi njia zikikamilika kwa asilimoa 100% kwa barabara zote kuja mjini hali itakuwaje sababu kama walijenga barabara...
  11. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    ITABIDI TUPIGE KURA KWA TUSAINI PETITION TU WATAG HAO WATU WA MWENDOKASI UJUMBE UWAFIKIE WAJUE TULIPOFIKIA KIFIKRA
  12. debRuney

    JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    ITABIDI TUPIGE KURA KWA TUSAINI PETITION TU WATAG HAO WATU WA MWENDOKASI UJUMBE UWAFIKIE
  13. debRuney

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

    PANDIKIZI LA MBOGAMBOGAA
Back
Top Bottom