Recent content by deborahmasai

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Cc em wote wezi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Mgombea urais wa ccm ametoa kali ya mwaka leo jijini Arusha baada ya kutoka nduki mara baada ya kumaliza mkutano wake saa kumi na moja na nusu, akiwa anazingirwa na kikosi cha polisi zaidi ya 100, na hii ni kutokana Arusha hakuna green guard, police wengi wamemwagwa maeneo ya kuzunguka uwanja wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika katika umeme kuikosesha kura CCM

    Tulio huku mikoani tunashindwa hata kula samaki, soko kuu la Arusha kuna nuka miarufu ya masaki na mkuku iliyooza hakutamaniki, yaani ni shida mtu unashindwa hata kufanya shopping ya nyanya na viungo vengine .ccw must be gone.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Muhimu Kwa UKAWA Siku Ya Tarehe 24 October

    Ataakihutubia muda wote wa tarehe 25, mwaka huu ni wa mabadiliko.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Waislamu mnapenda kuyumbishwa sana hamjui hata mnatakaga nini, takeni msitake mwaka huu rais ni ------ awe lo au jo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Wasanii wa UKAWA wakiwa katika shughuli mbalimbali za kijamii Tanga

    Uko bibi wajukuu zako hawajambo.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Wasanii wa UKAWA wakiwa katika shughuli mbalimbali za kijamii Tanga

    Bibi uko ukawa inakunyima macho kusinzia,
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jioni ya leo ubungo....mabadiliko 2015 is inevitable

    Hiyo ndo akili ya maccm, kazi tu ipi, siku zote mlikuwa wapi????
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jioni ya leo ubungo....mabadiliko 2015 is inevitable

    Nimesema hata mama yangu agombee kwa tiketi ya ccm kuwa rais simpi kura yangu, full stop.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mimi sijui lakini yaani wee acha mzee slaa Mungu ndiye anayejua, kilichobaki kwangu nasubiri uchaguzi tarehe 25 october.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Wapinduke wagare gare, lakini mbona hawazungumzii hizo ofisi zao wamepata wapi fedha kila wilaya, zito anasema watu wataingia bure kwenye uwanja wa taifa kushangilia timu ya taifa???
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Chama cha ACT Wazalendo walikosa chaguo ikabidi wafanye go for the hell kwa kuwa profesor kitila mkumbo alikataa. Wamejaribu kuzungumza ila mipasho kama kawaida. ACT Hawajiamini.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete na kuhuisha mishahara ya walimu

    Kumbe wewe ni kajuzi juzi tu, sisi walimu wa siku nyingi tunaidai serikali 16 bilioni haijalipa leo waongeze mshahara laki 3, unacheza wewe, hakuna kura ya mwalimu kwa maccm.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Yaani angesema haya maneno yeriko nyerere au tumaini makene au arusha one ningeelewa, ila wewe gamba sishtuki, kwani magufuli alisema sera ipi, si yale yale tu, ulikuwa umefunga masikio mh. Lowasa aliposema vipaumbele vyake ni elimu, elimug, elimu??? Mwaka huu mtabadilisha id, mtanyooka tu.
Back
Top Bottom