Kwanza mleta Uzi huu amekurupuka tu baada ya kushindwa kupambana na huba/hali yake,,,,,, hv umefanya calculation nzur kati ya Me na Ke ukapata jibu? Hv inawezekanika kweli kila mwanamke akawa na mwanaume wake peke yake bila kushare???????? Think twice then come again