Recent content by Dear ex

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je mwajiriwa anaweza kusimamisha ajira yake kwa muda kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mshahara anayodai?

    Na idara ya serikali inayojitegemea mkuu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je mwajiriwa anaweza kusimamisha ajira yake kwa muda kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mshahara anayodai?

    Kwani kuna ubaya gani ukifukuzwa kazi ambayo hulipwi?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je mwajiriwa anaweza kusimamisha ajira yake kwa muda kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mshahara anayodai?

    Habarini wanajukwaa? Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mishahara upoje iwapo kama mwajiriwa akiajiriwa na serikali tarehe za mwisho wa mwezi?

    Habarini wanajukwa? Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums kwa hiki kipindi mkiwa ndani ya Tanzania?

    Nashukuruni kwa kwa mliotoa michango chanya nimepata majibu ya swali langu na kwa wale mliotoa majibu hasi siku nyingine mjitahid kuwa positive kwa maana sio kila anayeuliza swali humu huwa anauliza kwa malengo hayo mliyoyawaza nyinyi. Namaliza na shukurani kwa wanajamvi🙏
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums kwa hiki kipindi mkiwa ndani ya Tanzania?

    Hakuna mema huku niliko mkuu ni msoto tu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums kwa hiki kipindi mkiwa ndani ya Tanzania?

    Habarini wanajukwaa?, Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,binafsi naomba mnisaidie kujua nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums mkiwa ndani ya Tanzania ilhali hali ya kimtandao haijakaa sawa? Nb: Mimi sipo Tanzania ila nauliza kwa niaba ya ndugu zangu waliopo huko Tanzania ili nao waweze...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Physics waliowahi kuhudhuria oral interview ya utumishi ni maswali gani mlikutana nayo?

    Habari za muda huu kila mwanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo naombeni mnipe mwongozo
  9. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    sawa mkuu nitaku-pm akimaliza
  10. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    ushauri mzuri nashukuru mkuu🙏
  11. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    nashukuru sana kwa mawazo yako mkuu
  12. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    nashukuru kwa ushauri wako mkuu
Back
Top Bottom