Recent content by Deal28

  1. D

    JamiiForums Tanzania Malikia wa Mpira wa Wavu kwa sasa ni Melissa Vargas

    Melissa Vargas ni mchezaji wa mpira wa wavu(Voleyball) kutoka Cuba ambaye anajulikana kwa uwezo wake mkubwa katika uwanja wa mpira wa wavu, haswa kama mchezaji wa pembeni. Alizaliwa tarehe 2 Mei 1999, huko Cienfuegos, Cuba. Vargas amepata umaarufu kwa talanta yake ya kipekee na ujuzi katika...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ndani patamu lakini nje patamu zaidi

    Ni kweli kukaandani kunafaida nyingi sana ikiwemo kuepusha migogoro isiyo ya lazima, kujipa muda wa kufikilia mambo yako muhimu na kujipatia majibu yenye utulivu na faida kadha wa kadha kinyume na hapo kutoka nje kunaweza kukawa na changamoto kidogo lakini faida yake ni kubwa zaidi, na zifuatazo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mbio za sakafuni huishia ukingoni

    kadabi kadogo hakooo mkwakwani, hati hati ya simba kutaka kupoteana na finali ya kombe la ngao ya jamii, nikutokana na kutokuwepo kwa mwamba wa lusaka, Cloutas Chota Chama, lakini pia papatu, papatu za kukosa magoli mengi young africa vs azam ni kukosekana kwa mshambuliaji mahiri Jumapili hii...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia na EPL ugomvi zito

    Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mmmmh naona hiyo kapuni iko chap sana, ngoja tupitie tuone
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo yamekuwa rahisi sana siku hizi

    Lilikufanyia nn?
  7. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo yamekuwa rahisi sana siku hizi

    Karoro la mtandaoni ndio nn ama ndio hilo dubwi?
  8. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo yamekuwa rahisi sana siku hizi

    Sahau kuhusu madhara ya internet katika nyanja zote za kijamii, lakini uwepo wa internet umesaidia vitu vingi, mfano mambo ya manunuzi, mawasiliano, lakini pia kwasisi ambao tunapenda pesa za chap chap, kampuni mbalimbali zimekuwa kinara kuanzisha michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tamaa inawezaje kumdhuru mtu?

    Duuh
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

    kufukuzwa kazi inauma sana, najua unapata ugumu sana namna ya kumwambia maana usiopofanya hivyo nawe kazi huna, sasa njia rahisi kwa akili yangu piga naye stori hapo na umueleze hasara za kuajiriwa yaani mjaze mpaka akubali kuajiliwa ni kubaya ukimuona amejazika na amekubaliana na wewe hapo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nani?

    ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂 Haya upande wa pili ukikosa sasa hapo ndio patamu ataanza kwanini umekosa, ukijieleza sanaaa anakutolea mfano mbona...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ni kweli lakini sio mbaya nikigusagusa na huku si unajua ridhiki popote :)
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    yaani na[pata changamoto maana ukitembeatembea kwenye makampuni unakuta sijui jackpot ziko mechi 13 tu et unashinda million200 kweli?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ndio niko serious natamani kujua ni kweli?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hii issue ya makampuni unakuta wanasema sijui wanajackopt mara za millioni 200, sijui millioni 100 eti ukipatia mechi zote wanakupa:cool: cha ajabu zaidi eti unabashiri kwa buku tu:oops:, ni kweli kabisa ukipatia wanakupa au kuna longolongo?
Back
Top Bottom