Recent content by De Vinci

  1. D

    JamiiForums Hivi hili swala limekaaje wadau??

    Aahhh!! kombolela gani sasa ya kwenye simu
  2. D

    JamiiForums Hivi hili swala limekaaje wadau??

    Una mtext mtu afu ananzisha maongezi yeye eti umepotelea wapi?? Yaani kukutext nianze Mimi halafu unanigeuzia kibao eti nimepotea!! Hivi hii kauli imeekaaje wadau?? Maana badala ya kusema za masiku uhali gani... Anakuuliza umepotelea wapi wakati Mimi ndio nimenyanyua wakwanza videlo vyangu nakutext
  3. D

    JamiiForums me ngoja nianzie huku

    Asante
  4. D

    JamiiForums me ngoja nianzie huku

    Exactly and I reject to "be transformed or destroyed"
  5. D

    JamiiForums me ngoja nianzie huku

    Basi pono amle pono mwenzie via conservation of energy!!
  6. D

    JamiiForums Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Watch movies online free on Movie2k | Formerly Movie2k.to | Movie2k all you need is IDM
  7. D

    JamiiForums me ngoja nianzie huku

    Kwani yeye pono alikula nini hadi akawa analal??
  8. D

    JamiiForums me ngoja nianzie huku

    Madame B mimi navyoona kama usingizi Ni kipaji afu mimi sina kipaji hiko
  9. D

    JamiiForums me ngoja nianzie huku

    Nilivyojionea watu wa huku wakarimu... Maana huko kwengne nimeona wapo ambao ukipost ukweli tu utawasikia wanaojikuta wajuaji wanaanza kuangalia number of posts and date joined JF
Back
Top Bottom