Recent content by de richman

  1. D

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    dah we jamaa uanongea vitu ambavyo ukivirelate aseee kuna logic hapo katikati inajengwa so tusikutute uyo the great Creator yeye haitaji kuabudiwa wala nini dah mzee hii dunia ina siri nyingi sana aseeeee
  2. D

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    dah mzee umenifikirisha sana aseeee emb naomba uendelee kufafanua hivi vitu aseee au napata wapi iyoo source mkuu
  3. D

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    ingependeza ukaleta na andiko kuthibitisha statement yako
  4. D

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    ndo maana KIRANGA kila siku umu anasema icho mnachokiita kitabu kitakatifu quran ni kama hadithi za kipepe au ludilofa tu kwa maana kuna contraditions nyingi sana siku mkifanikiwa kusolve hizo contradictions nyinyi kwa nyinyi basi KIRANGA atawaelewa lakin nyie wenyewe hamuelewani who is...
  5. D

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    mkuu dah nimesoma iki kisa chako kimenifikirisha sana kama ni cha kutunga nikafikira why utunge kama ni cha kweli how? dah kimenifikirisha sana mkuu
  6. D

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Mkuu niko na hofu ya Mungu bado ila inabaki iman tu na sio facts
  7. D

    Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Aseeee hii mada ni ya muda mrefu sana it takes me one week, kusoma yote mr kiranga na mr behaviourist nataka kuwaelewa aseeeeee pamoja na Emma. Mimi am pure roman catholic kwa sababu nimekulia mazingira hayo hadi nimesoma shule zao mpaka o level kiukweli kuna point kiranga huwa unaziweka sema...
Back
Top Bottom