Recent content by De Caprion

  1. D

    JamiiForums Tanzania Access bank recruitment

    Hawa Access Bank wana Mishahara Mizuri?, kwa Loan Officers?, na ni kama sh ngapi?, .. wadao toeni majibu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Access bank recruitment

    Hehe pole. watu wanapeana kazi, heheeee
  3. D

    JamiiForums Tanzania Freelance graphic designer

    Wana JF, natafuta kazi za Freelance Graphic designer, ninauzoefu mkali sana, na kufanya kazi faster, nina I Mac, iko fresh, tunatumiana kazi na maelezo mi nafanya faster na kuemail back, mwenye kujua kampuni inayoweza kufanya kazi na mimi please naomba details zao, niweze tafuta matonge, ntakufa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania KAZI ZA TANAPA Vipi?

    Wadau kazi za TANAPA vipi?, maana kuna walioitwa kwenye Interview Mwezi wa Nane, sasa kuna post nyingine tena walitangaza, kibao, na sasa zinaonyesha Closed Vaccancies kwenye website yao, Vipi walishaitwa kwenye interview, maana na mimi niliapply kazi pale. duh, Bado au ndo imekula kwangu?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Graphic Designer

  6. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Graphic Designer

    Nashukuru kwa ushauri, ngoja nitupie baadhi ya kazi, wadau waone
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Graphic Designer

    Mshahara mnono, Maana yake mshahara wa kutosha, kaka, we wa wapi?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Graphic Designer

    Kujiajiri nako mtaji, kaka, ndo mana lazima uajiriwe alafu baadae uende ukajiajiri baada ya kupata mtaji. kama unao nipatie, nipige kazi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Graphic Designer

    Nimepatia, Bondeni kwa madiba,
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Graphic Designer

    Wana JF, natafuta kazi ya Graphic Designer, Nina Degree na Uzoefu takiribani miaka 4, mshahara mnono, Adobe indesign, Photoshop na Illustrator, nazipiga si mchezo, Magazine Experience, Package designing, Branding, ki fupi all type of Print Designing, sio lelemama, Nina Portfolio, ila siwezi...
Back
Top Bottom