Wadau,
Naomba kupata taarifa za ujenzi wa viwanja vipya vya michezo hapa Tanzania.
Kwa yeyote anayefahamu naomba anijulishe hasa kile cha Arusha......kuna fursa ninaisubiria
Kwenye picha, ni maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha pale Kenya mpaka mwezi May 2024
Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.