Recent content by DBS

  1. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Sikopesh mtu wa kumdai kumfata kwao unaleta dhamana yako ilosainiwa na baloz na mwenyekiti nakupa hela ukikwama bila maelezo dhamana inauzwaa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Umenena mkuu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimestushwa na wizi wa data wa makampuni ya simu

    Mmmh hataar
  4. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Uchawi kwanza ndo siogopi mm c wapo wanaouwawa kwa uchawi na sio wafanyabiashara wa kukopesha hela Rip kwake kifo chake kitakua kiliandikwa atakufa kwa kulogwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  5. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Ahsante kwa mchango wako yakinifu nmekuelewa vizur mkuu Kukuhusu kukusahihisha sina la kukusahihisha maana mm sielew hayo mambo, ndo maana nimeanzisha huu uzi ili nipate majibu may be tuwangoj hao wengine.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Na ndo kinachotakiwa kwenye biashara mambo yakutishana uchawi yapo kila kona Mfano Mtu anakwambia biashara ya nyumba za kupangisha n changamoto maana mteja anaweza kukuloga kisa unamdai kodii
  7. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Daaaah hataar kwa afyaa alikopa kias gan mpaka wauwane
  8. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Hahahha ivi mkuu mbna bank hazilogwiii tukachukue huko siri nin
  9. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Wakati ww unaiita laana wenzio imetusomesha, imewasaidia wazaz wetu kujenga na wazaz wetu wanashukuru kwa kuwepo mikopo....endelea kukaza fuvu na kamfano kako kamoja cjui ka mjane, dua la kuku halimpati mwewe wapo waliouziwa nyumba zao na benk licha ya kua hawakua watoa mikopo think wise.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Nitajie hyo biashara isiokua nanchangamoto nami nikuoneshe mtu aliefanikiwa kwa kuzikimbia changamoto
  11. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Hiki kiatu kama kimekutosha ww kivae tu hamna namnaa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Mm nitahitaji muombaji wa mkopo alete ofisini kitu chenye thaman mara mbili ya mkopo atakaokua anauhitaji mfano, anahitaji laki moja alete dhamana ya laki mbili, ambayo itakua imepitishwa na baloz pamoja na mwenyekit kuna n dhamana halali kwenye mkataba kutakua na kipengele kinachoonesha kua...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Broo kila kitu kinahitaji kujitoaa (optimist ) ndo mm
  14. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Nikwambie tu huna ulichofatilia kuhusu mkopo na wala huna unachokifahamu kuhus mkopo hvyo hcho kitabu unachoandika may be upo ndotoni shtuka huko
  15. D

    JamiiForums Tanzania Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

    Nipo na mkakati tofauti ambao hautanirihusu kumfata mtu kwa namna yoyote kumdai fedha mkuu
Back
Top Bottom