Recent content by Dawson vedasto

  1. D

    Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    Yatoke hayo madudu yote yakiovurunda!
  2. D

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Siku zote kiongozi mwenye hekima utamtambua kwa matendo yake,kauli zake,maamuzi yake n.k,huyu jamaa hana busara,kwanza kauli zake chafu,hana hekima,na maamuzi yake ni magumu(yawezekana akawa na chembe za udikteta),maana huwezi kutoa kauli za kufungiwa kwa mtandao pasi na kuelezea sababu za...
  3. D

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Heh!,huyu Juma "Ngamia" kawaje?.Anahisi mambo yanapelekwa kirahisirahisi namna hiyo?,au anaichukia JF,kwa kuuelezea umma juu ya utumbo alouongea bungeni?.Habari zikufikie popote ulipo we "Juma Ngamia",wana JF,tunadeal na watu wenye uelewa kama Prof.Tibaijuka n.k,watu wasio na siasa za kuunga...
  4. D

    IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Tanzania tunaelekea wapi?,ina maana sie ni wasafi kuliko wachina,wathailand?ambao serikali zao zimeruhusu ufanywaji wa biashara ndogo ndogo mitaani?,huku wakikusanya kodi na mapato toka kwa wafanyabiashara hao!.Ila haya ndo matokeo ya uongozi mbovu,usokuwa na watu wenye upeo wa kufikiri kwa kina...
  5. D

    IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Kamuhanda alipewa sifa lukuki bungeni na swahiba wake,sasa ameamua kuonyesha kweli yupo kisifa zaidi!
  6. D

    IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Eti polisi wapo kwa ajili ya kulinda amani,raia na mali zake!,.Unamlinda raia kwa kumpiga mabomu?,unalinda amani kwa kuhatarisha maisha ya raia?,unalinda amani kwa kuhalibu mali za wafanyabiashara,tena bila kujali mitaji duni ya mikopo walonayo?.Amani iko wapi?,ulinzi uko wapi?,hyo ndo njia...
  7. D

    IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Tatizo watawala hawakubali kujishusha,wao wanaona kila kitu ni kutumia ubabe!.
Back
Top Bottom