Recent content by davor

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka hawa walimu wa Muhimbili PS na Makongo Sekondari

    hhahaha..ndosi ni balaa.umenikumbusha mbali sana 1990 muhimbili pr school
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka hawa walimu wa Muhimbili PS na Makongo Sekondari

    mkuu ulimaliza mwaks gsni muhimbili p/s
  3. D

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    lundenga ana maslahi na yule siti mtemvu..kaamua kumpa tu japo hakustahili kabisaa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    yule miss ilala alistahili kua miss tz kwa wale wote walioingia 5 bora yule siti lundenga ana maslahi nae.... kwanza kaulizwa anaweza kujibu kwa lugha gani?? akasema english..kilichonishangaza kajibu kwa kuchanganya na french ile peke yake hakustahili kua miss
  5. D

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    hakujibu vibaya...ila yy mwenyewe mbaya..macho yake kumchuzi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2014 live Star TV

    true...siti mtemvu wamembeba tu...haya mashindano hayana mvuto tena wanayachakachua sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    nichekie hii..so 181/0029 2011
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    nichekie hii..so181/0029
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    oya nna upande wa nyuma mzuri sana upo buguruni njia panda ya ghana maji umeme vinapatika stand ni dk 5 tu unafika naitaji wanafunzi 10 tu ni rahisi kufika udsm au duce kila mwanafunzi atalipia 40000 tu..maswali 0713 122177
  10. D

    JamiiForums Tanzania TCU transfer application

    mucram..nisaidie iyo link haifunguki kwangu...nichekie scie nce with education ipo nafas pale duce
  11. D

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    mwana niangalizie sozy charles
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani please mwenzenu nisaidien wana jf

    wahi st francis ifakara niliona bado wanachukua diproma ya afya
  13. D

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania

    mkopo unapata uhakika laki 800..mdogo wangu amepata hapo ila namuamisha chuo nimeenda kumtafutia DUCE na kombi ni bachelor science with education nakushauri fanya taratibu za uhamisho open hutopaweza
  14. D

    JamiiForums Tanzania Toyota Harrier inauzwa

    ok thanks
  15. D

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya form six na five

    Nauza vitabu kwa wale wanaoitaji ni vya form six na five kombi ya science tu..BIOLOGY,, CHEMISTRY,PHYSICS..ila vimetumika bei maelewano tu 0713558839
Back
Top Bottom