Dafuta dawa inaitwa bump patrol iko vizuri mimi ndio naitumia huondoa na pia huzuia vipele vya ndevu inapatikana kwenye pharmacy na maduka ya vipodozi
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Mimi nilishajaribu na iko freshi kama anavyosema jamaa.... Naunatumia kidogo...shuguli unapiga ipasavyo..... Asiyeamini amtafute mshikaji aijaribu
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Mimi hizo ndio shughuli zangu nilizosomea nina design nyumba ya aina yeyote... Unaweza ukanitumia pm tuka wasiliana vizuri
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Umejaribu mouse nyingine? Tatizo linaweza likawa ni la ports... Kama ports ziko fresh nenda kwenye cotrol panel devices alafu chagua mouse then cheki kama device inaokena iko fresh kama itakuwa mbovu itakuwa na ki tiangle cha njano kiclick kucheki kama tatizo ni hardware au software kama ni...
Kwa wale mnao tafuta mtalaamu wa kukuchorea nyumba au majengo ya aina yeyote tuwasiliane. Kwenye pm tufanye kazi....
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kuna msichana anainipenda kweli na kila siku haachi kuniambia kuwa ananipenda na anataka nimuoe ila ukweli ni kwamba simpendi kama anavyo nipenda yeye na sina mpango wa kumuoa na nimekuwa kwenye mahusiano nae kwa takribani mwaka nimejaribu kuwa na furaha nikiwa nae ila sina furaha... Naogopa...
Haha ni kweli aisee ila liko hivo kutokana na function zake za ndani kule juu kuna movie theater ndio maana hamna madirisha.... Ingekuwa bora ziwe kwenye other side ya facade... Sikuhizi hizi kazi zetu zinaingiliwa na maengineer ndio maan design zinakuwa mbaya hio ni kazi ya engineer architect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.