Hao waganga njaa waongo...mganga kweli anaomba zawadi sio pesa na zawadi yenyew utapeleka siku ukishaona mafanikio....so utachagua ww umpe pesa au chochote ukipendacho ww
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeiagiza
Club ya soka ya Wydad Casablanca ya
Morocco kumlipa Mchezaji Mtanzania Simon
Msuva @smsuva27 zaidi ya dola za
kimarekani laki saba ( Tsh. zaidi ya bilioni
1.6) baada ya Mchezaji huyo kushinda kesi ya madai aliyoifungua dhidi ya Club hiyo. Msuva ambaye...
mizigo ipo sema contena lina time limit ya kutoka bandari hdi siku ya kurudi...ukichelewesha contena ulilolitoa bandarini unapgwa faini so usione gar ipo na contena tupu ukazani kakosa mzgo si kweli sema wanakimbizana na muda
kuna mwaka tulienda kwa Mh.Waziri fulani hv mzaramo, nyumba yake iko somewhere..ilikua kutoa milango ilokuepo na ku replace mingne..tukajua leo hapa msosi wa kibabe basi mchana ulivofka ulitengwa ugali mkubwa na kisamvu nili mind sana yaan nkawaza katukomoa au nini sema matunda,ma juice ,maziwa...
bila picha za watoto ni chai,wengi tunasimulia stori za watoto wa kaka zetu na shemeji zetu...
Mi mtot wa kaka angu ana miaka 3 wa kiume korofi balaa mda mwingine ananiambia ondoka kwenu hapa kwa baba angu mara achia rimoti,yaan kama unafatilia vipindi vzur utasubiri katuni ziishe....nami...
Mwanamke wa kisukuma anakwambia "we katafute ulete me kazi yangu kukuzalia na kutunza familia kama kazi/biashara ntaifanyia hapa hapa nyumbani"
Shida nyingne mkiona wote wasomi ujuaji unakuwa mwingi sana.
bora uwe maskini kama mimi kuliko kuwa na pesa nyingi zikakusumbua..
Jamaa anaua alf anajiua kizembe sana....yaan mi niache ugali na dagaa kisa mabususu? Ladb mi sio mnyamwezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.