Recent content by DavidNgemela

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kinondoni Biafra

    nimeshauriwa kutoweka picha kwa sababu kuna baadhi ya watu wanatumia picha ulizoweka mitandaoni wanaenda kuitafuta wenyewe na kuiuza kwa magumashi, ndo maana sijapenda kuweka picha ila kama uko serious unaweza nitafuta tukaenda kuiona, coz nyumba ya M600 unajua itakua vipi mitaa ya Kinondoni.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kinondoni Biafra

    Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne,chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo. Ina uwanja mkubwa sana wa kutosha kwa ajili ya parking na Ina nyaraka zote muhimu zinazohitajika. Nyumba ni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kinondoni Biafra

    Zipo mbili kwenye Compound moja, Nyumba kubwa na Ndogo. Kubwa ina vyumba Vinne, chumba kimoja Self, indoor Toilet, Store, na Vyumba vitatu na Ndogo ina vyumba viwili pamoja na Choo. Ina uwanja mkubwa sana wa kutosha kwa ajili ya parking na Ina nyaraka zote muhimu zinazohitajika. Nyumba ni nzuri...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Magoli kumi bora ya kifo katika soka

    kweli ndugu, hilo ni bao kali pia. ila olibidi niandike mabao kumi tu. safi sana
  5. D

    JamiiForums Tanzania Magoli kumi bora ya kifo katika soka

    Goli la kifo au goli la dhahabu, Hili ni goli linalofungwa kwenye dakika thelathini za nyiongeza baada ya 90 kukamikika timu zikiwa suluhu, Mechi huwa inamalizika baada ya goli kupatikana na timu iliyofunga inakua imeshinda mechi. Sheria ya goli la kifo ilianzishwa mwaka 1993 na kufutwa mwaka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayestaili kuvaa jezi namba 11 ya Ryan Giggs

    safi sana, good explanations.
Back
Top Bottom