Recent content by david2010

  1. D

    Kwanini tunaibeba DP World kiasi hiki?

    Inasemekana wameshaanza kazi bandarini NI kweli au???
  2. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Kweli hazina ipo na hii ni mojawapo hutaweza kuikwepa subiri uone labda Wewe uhame
  3. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Huu ni mkondo kama ulivuo mkondo WA WAWATA... WA kila mwanamke mkatoliki ni wawata. Karismatiki NI mkondo WA karama ... charisma... Kila mbatizwa lazima awe na hizi karama za Roho Mtakatifu. Huwezi kuwa Moyo WA Yesu au UWAKA au kwaya yoyote kama huna hizi karama. Soma hapa utaelewa zaidi...
  4. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Wacha kuhukumu. Mungu hapendi wanaohukumu wala watukanaji. Haimbariki Mungu. Ni vizuri kuelimishana na kama mtu haelewi usihukumu endelea kuomba Roho WA Mungu ndiye mwalimu pekee na atafanya kazi Tu Kwa wakati wake kama Wewe ulivyofikiwa.
  5. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Kama Wewe ni mkristo WA dhat ingia kwenye YouTube: Andika kongamano la Pentekoste Karismatiki Dodoma: kuanzia day 1 Hadi sasa naamini maswali mengi uliyo nayo yatajibiwa. Na kama Wewe ni mkatoliki utaeleweshwa pia kuhusu sinodi ..
  6. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Tuzidi kumuomba Mungu kazi yake aliyoijia duniani ikamilike. Kusemana huku hakuna tija.... Wewe unajua ... Mimi sijui... Tuelimishane ili tutembee pamoja. Ubarikiwe sana Chokodari . Huu ndiyo uelewa WA Hali ya juu. Usio na ubaguzi
  7. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Ndugu NI lini mara ya mwisho ukiingia ndani ya Kanisa katoliki? Usitoke conclusion za juu juu. Roho Mtakatifu hakubagua alipowashukia familia ya Kornelio walikuwepo wenye kila tabia... Soma tena Year 31:29-30
  8. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Hapana hawa ni wakatoliki kamili na huu ni mkondo WA uamsho ndani ya Kanisa katoliki uliokubalika na Baba Mtakatifu na mkondo huu uko chini ya kila Askofu WA Jimbo.
  9. D

    Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki ya Kanisa Katoliki jijini Dodoma 31/05/2022

    Acha dharau kila mtu kapewa talanta yake kadiri ya uwezo wake
  10. D

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Kesi ikiisha tu kesho yake tunalianza kwa maandamano "Katiba Mpyaa" watafurahi
  11. D

    Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    Askofu awaite wafunge ndoa tu. maana hapo hakuna kizuizi. Wakaanze maisha ya kuwalea kichanga kijacho. Wazazi wakikataa inakula kwao. Wasiogope umri!!!
Back
Top Bottom