Mi naona wewe kama umesema vyema maana hata wenye pesa wanakomolewa na wake bado. Yani ukiwa na pesa utasikia mara humridhishi, mara kibamia, ukiwa mwanaume mashine na unamridhisha na una pesa mara utasikia nilikupendea pesa zako tu... Yani basi mwanaume unakoma mpaka unataka kuimba mapenzi...
Yaani upo kama Mimi 😀😀🤝 ndiyo maana nikiwa single, girl akiwa anachat na Mimi mara kwa mara yan naona hapa Mungu anipe nini Makmuga. Ila nikiwa kwenye mahusiano aisee huwa si entertain kuchat na other girls kabisa lkn mpenzi wangu akionyesha kunipuuza penzi langu mara hajibu sms hata za salamu...
Mi naona hapa nifuate tu my heart and my philosophy. Yan kichwa kinauma maana nishapenda mpaka nikasali na huko kwa Mungu wakajua kuwa kweli nampenda fulani lakini ... anyway ngoja niishie hapa. Ila kama huyu mwenzangu alipost uzi huu ameweza kufanya hivyo alivyoandika anajitahidi kwa kweli mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.