Recent content by David Moyes

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

    Mkurugenzi wa hai hakusoma TIA, huyu aligombea kwa Lazaro Nyalandu....rejea vizuri mkuu unakopi wrong!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kigoma Mjini Wamkana Zitto Kabwe na Kigoma Kaskazini Serukamba amekataliwa

    Huyu jamaa nilitamani sana aje kawe tumuumbue angesubiri kuteuliwa labda kwa huruma ya prezida,akagombee huko huko kwa wa lugaluga!?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa usaili Sekretariet ya Ajira

    Nashukuru nilijipanga ndiyo maana nikachaguliwa mimi!!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa usaili Sekretariet ya Ajira

    Kwa taarifa yako ni mimi sasa, watu kama nyie huwa hamkosekani katika jamiii!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa usaili Sekretariet ya Ajira

    Wakuu habarini za muda huu, Glory to God! Hatimaye nimeitwa kwenye interview secretariet ya ajira post ya Assistant Accountant baada ya kusota kwa takribani miaka 5 bila kazi yoyote. Ombi Langu Kwenu Kwa wale waliowahi kufanya interview ya mchujo, naomba walau kujua wanauliza maswali ya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kuhusu John Robert

    Jamani wadau hasa job seekers kuweni makini na mtu anayeitwa John Robert anatamia namba 0715811260. Huyu ni tapeli wa kimataifa atakupigia simu kuhusu kazi muogope sana huyu!! Me alinijaribu Mara 4 halafu anasahau kuwa alishanipigia simu Mara Tatu Leo ananijaribu tena!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Up date zozote kuhusu TIB BANK!!

    Kuna mtu pale ndani namfahamu aliniambia hizo application zilizopo pale ni balaa zinakaribia kujaa chumba kimoja wenyewe hawajui waanzie wapi kuzifanyia kazi../
  8. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Fred Mpendazoe?

    Mkuu me ni mshabiki wa Everton bana kwetu sisi alifanya mambo mazuri sana..
  9. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Fred Mpendazoe?

    Jana niliuliza mpendazoe bado ni mwanachama Wa chadema? nikashangaa ile post Leo siioni kuna mtu mwingine ameleta hii sio mbaya kama yupo SNV bado chadema? Mana kwenye mikutano ya kuimarisha chama sijawahi kumsikia au ndo wale wale mamluki??? Kazi maalum?????
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Fred Mpendazoe?

    Wadau hebu naomba kujulishwa wapi alipo Fred Mpendazoe je bado ni mwanachama wa Chadema?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wassira: Mbowe ni mzushi, hoja zake ni dhaifu

    Dada yangu Ester Bulaya kachukue jimbo huyo jamaa hakuna kitu! onana na Mzee Jaji atakusaidia huyo mtu arudi kigoma!!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Thomas Ngawaia: Zanzibar si nchi na Rais wa Zanzibar ni sawa na wa TFF!

    Huwa wanamwita "kunguruu asiyefugika"
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini-PCCB

    Waliopata chance hongereni sana wengine tulijaribu tukachemka au tulichinjiwa baharini??MUNGU ATUPE UVUMILIVU WATOTO wa maskini siku moja milango itafunguka tuu!!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

    Huu ni uongo tena uchonganishi!!!!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nauza viwanja

    Nauza viwanja nyangu viwili kimoja kipo 1.GOBA STAND sqm 700 umeme upo jirani na maji pia bei 14m 2.KIBAHA KWA MATIAS sqm 1500 umeme upo jirani na maji pia 8m Maongezi yapo 0717 034 934 No dalali
Back
Top Bottom