huyu jamaa harudi bungeni 2015, hata makamanda wengi waliompigania 2010 hawako nae kabisa ni mbinafsi mno, anaungwa mkono na layman tu ambao ni wafuata upepo.sasa hivi anabebwa na na think tanks za chadema kwenye mikutano yake kama lissu, lema n.k, hawa kwenye kampeni 2015 sidhani kama watakuja...
asikusumbue hana hoja za maana,tupo nae pale mzumbe, kwa kifupi jamaa ni kibaraka wa management ya chuo.hata pale chuoni si mmoja ya wapambanaji wanaosukuma agenda za chadema. anatafuta kick. ni mmoja wa vijana wanaounda mtandao wa PM7. cha kujiuliza kwanini anaibuka sasa? ukisoma waraka wake...
hata mimi naamini kamati kuu imeyaacha baadhi ya mambo makusudi tu.sidhani kama waraka ule tu upelekee maamuzi makubwa naama hii.Dr Kitila na MM wenzake wakifungua mdomo tu mzigo wote utawekwa hadharani.wakati wanaopitia kina Zitto sasa ni mgumu, lakini wakati ambao chadema ingepitia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.