Recent content by David Goliath

  1. D

    Hakuna Watu wanapata shida kama bodaboda wa Mafinga nyakati za Usiku

    Nenda Scandinavian countries hapo Mafinga hamna kitu
  2. D

    Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

    Nilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sister
  3. D

    Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

    Kajenge Taariime au Mugumu, Mwanza ni ya Wasukuma
  4. D

    Meena Ally wa Clouds media na Aaliyah Mohammed wa Wasafi media yupi ni Presenter Mkali?

    Ndiyo nawasikia Leo Mimi ungeniuliza Regina Mziwanda, Zuhura Yunusi na Mariam Dodo Abdalah nani zaidi ningekujibu
  5. D

    Crown Media ni kama wamepania sana

    Media za Bongo ziko under CCM hamna jipya
  6. D

    KERO Nauli ya Banana – Kivule (Fremu 10) ni mateso kwa Wananchi. Gharama zipo juu, Mamlaka ziingilie

    Mbunge wenu yuko bize kumfurahisha mama Kwa uhuni uliofanywa na serikali ya CCM, Jimbo la Ukonga miundo mbinu ya barabara ni majanga
  7. D

    How come stand ya wilaya iwe nzuri kuliko ya mkoa

    Stendi ya Korogwe ni nzuri kuliko stendi ya wavuta bangi na Wala mirungi
  8. D

    Simu yangu haisomi network

    Wakuu habari za wakati huu, simu yangu ni oppo a57 inaandika ''oppo nv recovery unsuccessfully " inashindwa kusoma mtandao, mafundi wahuku kwetu wameshindwa kunisaidia
  9. D

    Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    Alafu Kuna mtu anapanga kwenda kuungama dhambi zake Kwa baba Paroko,
  10. D

    Kwangu Mzee Kikwete ndiye baba wa Taifa, hao wengine mnaowasifu hawana maajabu

    Mimi Mkapa ndiye Rais Bora kuwahi kutokea katika nchi hii ndiye kafanya mageuzi mengi katika Taifa hili, tatizo la JK upigaji mwingi
  11. D

    Video: wakatoliki kesho msisahau matoleo maalum

    Vatican wapi hizo ni zahapo Dodoma
  12. D

    Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Yawezekana huyo jamaa ndiye katoa pesa ya mtaji wa grocery na ndiye anahudumia, lakini uwekezaji wake hautoi majibu mazuri,
  13. D

    PreGE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Mkeka ujao utakumbukwa ongeza bidii
Back
Top Bottom