Vitabu vya JAMES HADLEY viko vingi sana niliwahi kuvisoma zaidi ya 75 na vile vya watunzi wa Kenya na Uganda,Malawi,Afrika magharibi n.k
Kama watoto wetu waangekuwa wadadisi kama sisi wangefika mbali sana,THE RIVER BETWEEN,NO BRIDE PRICE,THINGS FALL APART,SONG OF LAWINO AND OCHOL,MINE BOY,wale...