Duuuh!!!, Aiseee kama huo ndio msingi wa kazi yenu basi kazi mnayo ndg yangu. Sisi kinadharia tunajua katika kazi za taaluma yenu kuna kitu kinaitwa investigative journalism ambapo anatafuta habari wewe sio kukaa na kusubiri kulishwa tu.
Huwa nakufuatilia sana STARTV na bwana Dotto Bulendu...
Wewe mwanahabari gani? Kwani ni serikali pekee ndio chanzo cha habari?? Haya bwana endelea kuisubiri serikali ikuletee taarifa. Halafu eti nanyinyi wanahabari mnadai muwe mhimili wa nne wa dola!!!, Shame on you!!!, Mnapaswa kuwa jito la tatu, mnapaswa kuionesha serikali na wananchi mpaka pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.