Wakuu habari za saa hizi,
Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri?
Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.