Recent content by davao

  1. D

    JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Tanzania

    Rafiki,acha masihara.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Watakaowapa mimba wanafunzi miaka 30 Jela

    lakini kwa wale ambao dini yao inawaruhusu kuoa binti chini ya miaka 18 itakuwaje?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tulifurika uwanjani kujua utata kuhusu RICHMOND, si kwamba tunampenda Lowassa

    Na kama CCM watamsimamisha Lowassa watakuwa na kibarua kigumu cha kumsafisha na kwa upande mwingine wananchi wengi watakwenda kwa vyama vya upinzani.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri kutangazwa juma hili au mapema juma lijalo

    umuhimu wa kuundwa kwa baraza jipya upo,lakini rais aepuke kuwachagua maswahiba wake ambao ni mafisadi.
Back
Top Bottom