kukamatwa kwa boniyai kumeteka Hisia za watanzania wengi . Serikali ya CCM imemtia kizuizini kwa lengo moja tu .
ikumbukwe tarehe 23 september (jumatatu) CHADEMA imepanga kufanya maandamano, ambayo kila mtanzania mpenda haki atawekeza hisia ,akili na muda wake kwenye hayo maandamo. Ukimuangalia...
Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november 2024.
Napata hisia tofauti juu ya uchaguzi mkuu wa marekani, natumia jukwaa hili la jamiiforum kutoa...
Mzee anayeamka mapema kwenda kufanya kazi alikuwa kijana aliyelala sana. Kuna hatari endapo mmoja atakosa usingizi, Lakini kuna hatari kubwa zaidi endapo mmoja atasinzia sana.
VIjana tujitahidi kuutesa ujana wetu kwa kufanya kazi hili kutoutesa uzee wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.