Mimi nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauri wenu.
Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauri wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.