Recent content by Daud26

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Propaganda za kiuchumi katika zama hizi haziwezi kudanya kazi, pia hauwezi waambia uongo watu wote wakakubari
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bishop Josephat Gwajima wa GCTC - Ufufuo na Uzima kumjengea kanisa Mchungaji wa kanisa la KKM lililovunjwa na DC wa Ubungo Albert Msando

    Ni jambo jema sana, kwani Mpango wa Yesu kuja duniani si kuleta dini bali wokovu kwa wanadamu. swali Je kuwapokea watu wasioamini , wakanisa jingine au wenye dhambi ni kosa Mbele za Mungu. ? Mapokeo ya makanisa na sheria za makanisa zilizo kinyume na maagizo ya Mungu kupitia biblia hayana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Kuna watu waaanzisha threads ili kuvuruga utoaji wa taarifa kwa wengine mfano ni ndugu "mawele" katika kuripoti mwenendo wa kesi ya MK Soyo vahati mbaya bali ni makusudi ni vyema JF ikaaangalia hambo hili
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Usipoamini unekwisha hukumiwa, ila ukiamnini moyoni mwako na kukiri kwa kinywa chako unao uzima wa milele
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ayubu 5:11-13 NEN Huwainua juu wanyonge, nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. Huipinga mipango ya wenye hila, ili mikono yao isifikie ufanisi. Yeye huwanasa wenye hekima katika hila yao, nayo mipango ya wadanganyifu huiondolea mbali.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    May powerful God ,strengthens you Philippians 4:6 Psalms 143:9
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    😂😂😂 Angalia jina sijuhi huhawei/Wuwawehi. panachangamka tanzaniya siyo Tanzania Rahisi ni gharama
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari iingilie kati Wanahabari wanaoingilia Faragha za watu

    Hatakuwa ni yule wa mawingu media, Ambaye nimekuwa niniona anatoa habari ambazo mara nyingi zinaingilia privacy ya watu, kama sherehe, misiba . Ni vyema sana kuwa na heshima kwa faragha za watu licha ya kuwa habari hizo ni biashara Ayo hapewe break kwani hipo siku atakanyaga phase ya high...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Soko Singida Linawaka Moto Muda Huu

    Pole kwa wafikwa wa janga hilo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kukamilisha yale ya mtangulizi wake, kisha kujumlisha na ya kwake anayotenda, kutomshukuru ni kujichumia tu dhambi za bure!

    Shukrani kwa bandiko Lakini naamini kupitia bandiko lililopita " je ni yeye ajaye" Hadi kufika August kuna mambo mengi Mungu anakwenda kulitendea taifa la Tanzanian 🇹🇿 🇹🇿 Mbeba maono hafi hadi mpango wa Mungu utimie
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mabaraza ya wadhamini wa makanisa wawe serious kusimamia katiba za makanisa vinginevyo mengi yatafutwa kwa kutozingatia mashartti ya usajili

    Yakifungwa ndiyo utafurahi, ? Kanisa ni jengo, watu au ni Kristo? Kanisa ni mali ya mtu au Kristo?
Back
Top Bottom