Kwa mujibu wa hii post nimejifunza kwamba mkopo sio mbaya ila ubaya wa mkopo ni pale unapokosa management iliyo bora pamoja na sehemu sahihi ya kuwekeza.
All in all that is good experience for learner's.
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mjasiriamali ninafanya kazi katika ofisi yangu ambayo nimeianzisha mwenyewe maeneo ya chanika Dar es salaam.
Lengo haswa la kuja mbele yenu ninahitaji mtu abaye yupo tayari kunikopesha kwa makubaliano maalumu, yaani kwa mkataba pia kwa riba tutakayo kubaliana...
You may be right bro, and I'm struggling enough to make sure things comes better, but still there's a big gap between my capital and the demands. That's why I'm here bro.
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mtafutaji, naishi Dar maeneo ya chanika.
Kitaaluma ni mwanasheria ila kwa sasa nafanya biashara katika ofisi yangu binafsi.
Lengo la mimi kuja kwenu ninahitaji mtu ambaye yupo tayari kushirikiana nami katika biashara yangu yaani tutengeneze partnership...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.