Recent content by Daud Bako

  1. Daud Bako

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

    Kwaiyo hii habar ni kweli kwamba kajuvua hilo taji????
  2. Daud Bako

    Inakuwaje darasa la 7 alipwe mshahara sawa au zaidi ya mara 2 ya mtaalam bingwa, daktari au profesa?

    Serikali mbovuu imeshindwa kupanga na kucmamia... Wanalazmisha
  3. Daud Bako

    Madaktari wa Kitanzania wajitolea kwenda Siera Leon na Liberia kutibu Ebola

    Duh...!!! Wametufatia ebola hawa people!!! Eee Mungu tunakuomba utuponye na tamaa ya fedha.
  4. Daud Bako

    Kwanini Mrisho Mpoto havai viatu?

    Ndagu na bange...!!!!
  5. Daud Bako

    Kikwete aunga mkono serikali tatu, asema muda wa matakwa yao haujafika

    Inasikitisha sana, lakini punguza jaziba wangu...!!!
  6. Daud Bako

    Wazo la Waziri Mkuu: Kura ya Rais sanjari na kura ya maoni ya katiba

    Pinda amepinda kweli...!!! Nasikia harufu ya damu Tanzania
  7. Daud Bako

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Acha ushamba!! Kama unajua wanatakiwa kutoa ushauri, na hata kumtaka rais kustisha mchakato ni ushauri... Wap sasa tulipo? 2/3 hakuna na mabilioni yameshateketea!
  8. Daud Bako

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Jiulize, kwanin CCM wanawazonga baadhi ya wajumbe wa BMK kisa wamesema HAPANA kwa sura na ibara zote za katiba pendekezwa ya CCM? Na kwanin pia isiwepo kamati ya maridhiano ya kuwauliza wale wengine kwanin wanesema NDIYO kwa sura zote na ibara zote za hiyohiyo rasimu ya CCM?
  9. Daud Bako

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Huna akili, KATIBA sio siasa bali ni moyo wa taifa. Wewe ni Ignorant sio tatizo lako.
  10. Daud Bako

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Pimbi babako!! Unakera mbweha wewe...! Muache 6 atafute namna ya kutubu vinginevyo ushauri wako unazidi kumpotosha ---- you!!
  11. Daud Bako

    Askofu Benson Bagonza: Kwa matusi yake dhidi ya Kanisa, Samwel Sitta ni sawa na Goliati

    Tunamshukru Mungu anasikia kilio chetu na anawapa busara viongozi wake wa Dini kututetea kondoo wake na kamwe tusipotee. Maaskofu hakuna haja ya kubishana na sitta ambaye yeye anatafuta uraisi alikuwa wananchi wa urambo na urambo yenyewe ni Maskini, kwa mda wote tangu awe mbunge katika jimbo...
  12. Daud Bako

    Fahmi Dovutwa: Uchaguzi wa ndani ya chama changu utafanyika baada ya kuviangusha CHADEMA na CUF

    Unafikili angeambulia kura ngapi? Hana hata hadhi ya kuwa rais, kwa muonekano na kwa hoja.... Aliona namna ya kuosha jina ni kusurender kura zake ...
  13. Daud Bako

    Fahmi Dovutwa: Uchaguzi wa ndani ya chama changu utafanyika baada ya kuviangusha CHADEMA na CUF

    Dovutwa na cheyo ati wanasubili nini? Wanasubiri ndege bandarini? Waache waendelee kusubili hata ivo 2015 chama cha cheyo(UDP) na kile cha Mrema(TLP) vitatoka rasmi TCD na kujiunga na chama cha kina Dovutwa. Wakati huo Dola ipo na members wa ukawa.
Back
Top Bottom