Recent content by Datot

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Njoo PM
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti ameniletea balaa

    Ok, shukrani sana kwa ufafanuzi huu, wengi hatuna uelewa kabisa
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Hongera sana kiongozi, ngoja na sisi wengine tuendelee kusubiri wakati wa bwana anaweza tenda. Mi nilishaanza kukata tamaa, lakin post yako imenipa matumaini, kumbe inawezekana
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Nimeondoa hiko kigezo...ni ngumu sana kuthibitisha...bora HIV , tutapima wote
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti ameniletea balaa

    Duuh kumbe?, mbona hatari sana...
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti ameniletea balaa

    Linatumia dawa, halafu likipima majibu yanakuwa negative tena??? Sijaelewa hapo mkuu. Mbona wanasemaga...hata utumie dawa vizuri kiasi gani. Lakini ukipima lazima isome positive?? Mwenye ufahamu naomba unifafanulie hapa.
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Ngoja nimcheki kiongozi
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Hapana..kama umekidhi vigezo hivyo vingine...njoo PM tuzungumze...Hakuna aliyemkamilifu duniani hapa. Mkamilifu ni Mungu wetu tu.
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Waje PM tuyajenge...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Unaishi mkoa gani?, na upo tayari kupima HIV?
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mimi nina 34, upo tayari?? Na siyo hayo makabila natokea mikoa ya kusini mwa Tanzania
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Sifa zake: 1. Awe na hofu ya Mungu. 2. Awe tayari kupima HIV. 3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu 4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu. 5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k. 6...
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume wa kunioa

    Nipo hapa
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Na mm mwenyewe...natafuta mchumba wa kike, sifa zake 1. Awe anajua kusali(mwenye hofu na mungu) 2. Asiwe mchawi 3. Asiwe mnene sana wala mwembamba sana (wastani) 4.Awe tayari kupima HIV 5. Asiwe mfupi angalau mrefu kidogo, mana hata mimi ni tall alafu black man. 6. Asiwe tegemezi mana hata mimi...
Back
Top Bottom