Habari wana jukwaa,
Naulizia ni Certifications zipi zipo kwenye Market ambazo watu walioko kwenye field ya Computer Science/IT-related field wanapaswa kuzisoma na kuzipata ili waendane na competence kwenye field hiyo.
Pia Naomba msaada wa namna gani ya kuzi acess (Kuanza kujifunza), Period...
Yeah bro nimekupata ,, but kiukwel mpaka Sasa sipo kweny online community platform yoyot , na kuhusu skills ambazo Nina prefer most ni graphics design though not yet sija master kla Ktu , I like things like printing; posters, flyers, banners, logo, business cards za biashara za watu mbal mbal (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.