Recent content by daruweshi97

  1. D

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Hapo ndio huwamini kuwa zt habebwi na mtu wala ukawa ni mtu aliyejitasmini na kukubalika sio kubebwa na mwenzako akikuchoka utakimbiliya wapi tena? Ukawa ukawa mkafie hulo
  2. D

    Dk. Kitila Mkumbo atoe maelezo kuhusu ACT

    Iliuishi maisha marefu ni lazima Uwena akili ya kufikiri Uwe na akili ya kuwaza Uwe na akili kusikiya kitu na ww ukakitasmini je ni kweli? Uweze kujitasmini Uwe na akili kutokutumiwa kama mty aliye kunywa viroba Sifa hizi ukiwanazo ndio utasema kweli ww binadamu Wafwasi wengi wa cdm hawana...
  3. D

    Hati ya Muungano: Nani ameaibika kati ya CCM, serikali na UKAWA?

    Karatasi lake la mitiyani katowa huko alafu anatuwambiya hati ya muungano Lisu anawachanganya ukawa kama viroba
  4. D

    Msimamo wa Zitto Kabwe kuhusu Katiba mpya

    Popo baba yako uliyemning'iniza juu ya mti Safari inaendeleya Tunawabayiza na kuwasilimisha Kwa kuvuwa magamba Kuvuwa gwanda Na kuuvaa uzalendo
  5. D

    Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

    Tunatukanwa na wafwsi wa cdm kutuita warundi wasaliti wao wanajuwa ili uwe mpinzani ni lazima umchaguwe myu kutoka cfm tu Hivi hao waliopo nccr sio wapinzani? Jifunzeni 2015 sio mbali wana cdm tuwanyoosha tu
  6. D

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Sawa ndugu elewa tu hata wale unaowaona wapo cdm leo wengi wao ni waliotemwa na ccm ndio wapo xcdm leo Au ww hukumbuki ndugu Bora uwe unakaa kimya tu kama hujui siasa za nchi yetu
  7. D

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Cdm hukesha kila siku kwenye mitandao wakifikiri wanaikomowa act la Chama kinasonga mbele kila siku Matusi ya cdm hayaturudishi nyuma
  8. D

    Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

    Sawa tunakubali utuite warundi wa kongo wa zambia wa rwanda majina hayo yote na kshfa zote tumekubali Lakini tunamsimamo wa kile tulicho simamiya
  9. D

    Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

    Namakisee wana kigomaa Tumejitambuwa
  10. D

    Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

    Mayange sisi tumetukanwa sana hususani na misukule wa cdm Tunasema tumejitambuwa kama wao wameona upinzani ni lazima uwe cdm watasubiri sana Tuliipenda cdm Sasa basi hatuitaki tena Wamebaki masaliya tu mkowani
  11. D

    Kwanini Mkoa wa Kigoma unakosewa heshma?

    Ww sijui ni mpemba nenda ukafie huko kwenu hatuweI bishana na mtu asiejitambuqa
  12. D

    CCM/ACT-Tanzania yatoa dau mil 30 madiwani wasirudi CHADEMA

    Vidonge vyako vya kumeza kutuliza akili hujameza? Hivi juzi mlikuja na hoja wamerudi cdm tena leo mnakuja na kauli wamewazuiya ccm sijui act unaakili kweli? Kapimeni akili sikuizi ugonjwa huo matibabu ni bure kabisa
  13. D

    Uchaguzi wa Morogoro Mjini CHADEMA Kuharibiwa na M/Kiti Mkoa

    Naona cdm huwangaika tu kesho utakuja tena ni wafwasi wa zt
  14. D

    ACT-Kigoma inajipanga kuingiza mamluki uchaguzi wa viongozi CHADEMA hapa Kigoma

    Kwa chama gani cha kuweka mamluki? Mkowa wa kigoma cdm kimebaki yatima kimekufa hakina muwelekeo tena Naona mtowa mda kachanganikiwa Mwambieni awatajie anaegombeya uwebyekiti taifa kama watu awacheki kwa mshangao wa wagombeya
  15. D

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Maisha yangu sasa toka nijitambuwe kunamagazeti ya 1 Tanzania daima 2 uhuru 3 mzalendo Kamwe siwezi kutowa sh 1 kununuwa hata bure siwezi Kusoma Magazeti yamekaa kiudaku tu kwa kumfuraisha boss kasema nn
Back
Top Bottom