Recent content by Darling john

  1. D

    Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

    Ubora wa chuo unapimwa na nini?.wasomi wa sasa ivi na watu wa ajabu sana haijalishi wanatoka wapi kama 2kishinda ku2mia elimu yetu kuleta maendeleo. 2kishinda kuishi kama wasomi kimatendo na kimaadili ni afadhali vyuo vyote vifungwe 2tafute ishu nyingine ya kufanya
  2. D

    Akina dada wenye tabia hizi, hamtapona mbele za mungu

    Tatizo kila watu wanachoona wazungu wanafanya wanataka na wao wa ige
  3. D

    Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Acha 2 kufa maisha la leo ni tofauti na ya jana tatizo la wanaume wale tayari wamekariri maisha kwamba oho huyu anakazi atanidharau sasa anaingia kwenye ndoa tayar ana mawazo yake kichwani hilo ndo nitakalo kupa shida na kwa sasa mpendwa labla mkute kijiji lakin vyuon. Ofsin mjin no
  4. D

    Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Nivyema kwa mtazamo wako ila wa namna hyo watafute kijijin mjini hupati mtu kaka. Then hata kijijin uwe makini mana akijanjaruka 2 Maisha yako yapo hatari .
  5. D

    Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

    Samahan alietoa mada anatokea pande zrg hapa tz. Mana nimeshakutana na wakaka kama watatu wenye principle hii lakin nilvyojaribu kufuatilia nikagundua wanatokea wote mahali pamoja my dear brother nifahamishe nikuongeze kwenye list il hata mtoto wangu akileta 2 wa kipande hcho ni mtimue mapema
  6. D

    Kukosa msimamo, kutojitambua ni janga kwa wasichana wa vyuoni..

    Unajua vi2 vya zamani ving 2naviona havina mana kwakuwa 2nataka kwenda na wakati za mani hata kama mtu ni mchumba wako kuna baadh ya mambo yalikuwa hayaruhusiwi kufanyika .lakin leo hii wadada weng kinacho wa ponza ni kumwamini boyfriend kama mumewe bila kujua yule ni mtu 2 wamekutana chuon na...
  7. D

    Mpenz aomba nimgombeze....

    Dah kwahyosasa hapo biarus uje na maski kutoka home
  8. D

    Kwa nini kasi ya dada zetu hasa wasomi kuzaa bila kuolewa inaongezeka sana?

    Jamani nafikiri lengo la mada za humu ndani ni kuelimisha. 2siwe wepesi kutetea makosa 2litafuta ushindi .kwa upande wangu naona wote wana makosa wanawake weng waliosoma tena na kuwa na madaraka hasa kazi wanashindwa kujua wakati na jinsi ya ku2mia elimu zao wakidhani kwamba elimu ya darasani...
  9. D

    Kwa nini kasi ya dada zetu hasa wasomi kuzaa bila kuolewa inaongezeka sana?

    Point si kuzaa unaezaa nae ni mumeo.? Au umemkwiba mahali
  10. D

    Kwa nini kasi ya dada zetu hasa wasomi kuzaa bila kuolewa inaongezeka sana?

    Umeona ehe mana kuzaa na mtu aisiyekuwa wako nisawa na kuzaa na mume au mke wa mwenzio.
  11. D

    Kwa nini kasi ya dada zetu hasa wasomi kuzaa bila kuolewa inaongezeka sana?

    Samahani mpendwa unasoma vitabu vya mungu wewe. Mana kama kuzini kunahalalishwa saivi ni hatari
  12. D

    Mapenzi ya Chuoni kizungumkuti...

    Wote unakuta wanaanzisha safari ambayo hawajui wanaenda wapi .sasa watawezaje kujua wap wapite vp waish wakati katika kukaa kwao wanawaza starehe ngono hakuna hata nukta moja wanayoshauriana mazuri na kupanga maisha yao.
  13. D

    Course hii vp ndugu zangu pale udom

    Ni nzuri 2 we kasome kwa bidii
  14. D

    Tovuti gani nzur kwa kuperuz maswali na majibu...hasa kwa ajiri ya assigment?

    Sio mbaya ku2mia net kufanya assgment ila jitahidi ku2mia vitabu na kwenda library mana internet zinasababisha darasa zima wawe na kazi inayo fanana kila ki2 kwa uvivu wa kusoma .
  15. D

    * Udom walishusha cutin point to 2.5 programe zipi?*

    Wacha kuwadanganya watu 2kutajie wenye 3 za mwisho nawanachukua civil engeneer hapo.
Back
Top Bottom